
















karibu sana ujipatie burudani zilizo na ujazo kutoka kwa madada 6 bila kusahau kikundi cha taarabu kiitwacho yah tmk taarabu pale utakutana na omary tego aisha vuvuzela,amina mnyaru maua tego fatma mcharuko na wengine kibao.
Pia bila kusahau zawadi za nyimbo mpya zitakazo zinduliwa pale katika ukumbi wa raju usiku wa leo.
No comments:
Post a Comment