Tuesday, 26 September 2017
Baadhi ya wakazi wa Halmashauri ya manispaa ya mpanda wamelalamikia tabia ya kutozwa hela ya mifuko ya kuwekea taka.
MPANDA
Baadhi ya wakazi wa Halmashauri ya manispaa ya mpanda Mkoa wa Katavi wamelalamikia tabia ya kutozwa
hela ya mifuko ya kuwekea taka na baadhi ya vikundi ambavyo vimejisajili kwa
ajili ya kukusanya taka.
Hata hivyo wameeleza kuwa jambo hilo si sahihi kwani fedha hizo hazina uhalali kwa wananchi huku wakazi hao wakiwa
na mifuko yao ya kuhifadhia taka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
MLELE Shule ya msingi kusa iliyopo katika kijiji cha Kanoge kata ya utende Halmashauri ya wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi inatalajia k...
-
Kibao cha shule ya msingi nsanda iliyopo katumba B Shule ya msingi nsanda iliyopo kata ya kanoge halmashauri ya nsimbo mkoan katavi ...
No comments:
Post a Comment