Thursday, 12 October 2017
Mtu mmoja anayefahamika kwa jila la Suzani Chales 40 amekufa kwa kupigwa risasi na watu wasio julikana wilaya ya Tanganyika.
KATAVI
Mtu mmoja anayefahamika kwa jila
la Suzani Chales 40 mkaazi wa Kata ya Katuma wilaya ya Tanganyika amekufa kwa kupigwa
risasi na watu wasio julikana .
Akithinitisha tukio hilo Kamanda
wa Polisi Damasi Nyanda amesema tukio hilo limetokea jana usiku wa saa mbili wakati wanafamilia hao
wakiangalia taarifa ya habari ambapo inadaiwa watu hao waliomba maji ya kunywa
na baadaye kufanya uhalifu huo.
Kamanda Nyanda amewaasa
wananchi kutoa taarifa kwa jeshi la polisi pindi wanapo
baini uwepo wa vitendo vya uharifu ili sheria ichukue mkondo wake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
MLELE Shule ya msingi kusa iliyopo katika kijiji cha Kanoge kata ya utende Halmashauri ya wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi inatalajia k...
-
Kibao cha shule ya msingi nsanda iliyopo katumba B Shule ya msingi nsanda iliyopo kata ya kanoge halmashauri ya nsimbo mkoan katavi ...
No comments:
Post a Comment