![]() |
Rais wa marekani Donald Trump |
Friday, 5 January 2018
Marekani yazidisha makali ya vikwazo dhidi ya Iran
Mchapishaji wa kitabu chenye utata
kuhusiana na rais Donald Trump amesema kuwa amevikabili vikwazo kutoka kwa
wanasheria wa Trump wanaojaribu kuzuia kisichapishwe.
Aidha, ametangaza kwamba amechukua hatua
kichapishwe mapema na tayari kimeanza kuuzwa katika mtandao wa Amazon.
Kitabu hicho awali kilikuwa kimetarajiwa
kuchapishwa Jumanne wiki ijayo.
Kitabu hicho kijulikanacho kwa jina
la Fire and Fury kilichoandikwa na Michael Wolff kutokana na
upinzani mkali wa uchapishwaji wake kwa sasa kinatolewa siku nne kabla ya muda
uliotarajiwa.
Chanzo: Dw swahili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
MLELE Shule ya msingi kusa iliyopo katika kijiji cha Kanoge kata ya utende Halmashauri ya wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi inatalajia k...
-
Kibao cha shule ya msingi nsanda iliyopo katumba B Shule ya msingi nsanda iliyopo kata ya kanoge halmashauri ya nsimbo mkoan katavi ...
No comments:
Post a Comment