![]() |
Mradi wa umeme utende |
MLELE.
Mwenyekiti wa Ccm Mkoa
wa Katavi Beda Katani amewataka wanachama wa chama hicho kufanya kazi katika
misingi na taratibu za chama hicho.
![]() |
Jengo la CTC Ilunde |
Ameyasema hayo katika ziara yake katika halmashauri ya Mlele na kusisitiza kuwa kufanya kazi katika misingi ni pamoja na kufuata sheria na kanuni ambazo zinatambulika
kisheria ndani ya
chama.
![]() |
Mwenyekiti ccm mkoa beda katani kati kulia mwenyekiti wa ccm mlele wolfgung pinda katibu mweenezi mkoa katavi jackson lema mbele ya ofisi ya ccm ilunde |
Katani amewasisitiza
wanachama kuhakikisha wanajenga ofisi za chama hicho katika kila kata ili
kufanya kazi zao kifanisi.
Chanzo:Furaha
Kimondo
No comments:
Post a Comment