![]() |
IGP Sirro akiongea na waandishi wa habari |


![]() |
IGP Sirro akiongea na waandishi wa habari |
![]() |
Ndesamburo enzi za uhai wake |
![]() |
Mzee Ngosha enzi za uhai wake, pembeni Nembo ya Taifa. |
![]() |
waziri Ummy Mwalimu |
ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mkuu wa Jeshi la Polisi, Kamishna wa Polisi Simon Sirro kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la polisi nchini Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam
Na Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 28 2017 amemteua Kamishina wa Polisi Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP)
Kabla ya Uteuzi huo IGP Simon Sirro alikuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
IGP Sirro anachukua nafasi ya Ernest Mangu ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa IGP Simon Sirro ataapishwa Jumatatu Mei 29, 2017 saa 3:30 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe wamewatembelea wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kuwashukuru Madaktari na Wauguzi kwa juhudi kubwa wanazofanya kunusuru maisha ya watu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anaongea na Mzee Ngosha
Miongoni mwa wagonjwa waliojuliwa hali ni Mzee Francis Maige Kanyasu (Ngosha) aliyelazwa katika chumba namba 310 na Mtoto Shukuru Musa Kisonga aliyelazwa katika chumba namba 312 ambaye hivi karibuni aliripotiwa kuugua ugonjwa usiofahamika uliosababisha aishi kwa kunywa mafuta ya kula, sukari na Maziwa.
Rais Magufuli na Mama Janeth Magufuli wamefanya matembezi hayo leo majira saa moja ya asubuhi wakiwa wanatokea katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro liliopo Oysterbay Jijini Dar es Salaam ambako walihudhuria ibada ya Jumapili.
Aidha, Rais Magufuli amesema serikali itaendelea kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoikabili hospitali hiyo pamoja na zile zinazowakabili madaktari na wauguzi hao.
“Jamani, Madaktari tunawashukuru sana, mnafanya kazi nzuri, Madaktari wote nchini pokeeni pongezi zangu, sisi serikali tutaendelea kuzikabili changamoto hizo na siku moja zitakwisha. Kikubwa ni kumtanguliza Mungu mnapofanya kazi ya kuokoa maisha ya watu kwa juhudi kubwa, mnafanya kazi ya Mungu”alisema Rais Magufuli.
Rais Magufuli na Mkewe wakiwa wanaongea na Mtoto Shukuru
Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Lawrence Museru ameweza kumshukuru Rais Mgufuli kwa kuwatembelea huku akisisitiza kuwa tayari madaktari wamegundua magonjwa yanayomkabili Ngosha pamoja na Mtoto Shukuru.
Aidha, Prof. Museru amesema hospitali hiyo imepiga hatua kubwa ya kujenga uwezo wa kutibu magonjwa ambayo wagonjwa walilazimika kwenda kutibiwa nje ya nchi na hivyo kuokoa fedha nyingi za serikali.
“Mhe. Rais hospitali yetu sasa imeanza kufanya upasuaji na kutoa tiba ya magonjwa ambayo yalilazimu wagonjwa kwenda kutibiwa nje ya nchi, mfano hivi sasa tunatoa huduma ya kusafisha figo kwa wagonjwa takribani 250, na kuanzia mwezi Julai mwaka huu tutaanza kupandikiza figo.Huduma hii hugharimu kati ya Shilingi Milioni 60 na Shilingi Milioni 70 kwa mgonjwa mmoja anayekwenda kutibiwa nje ya nchi, lakini hapa nchini gharama zinashuka hadi Shilingi Milioni 21” alisema Prof. Museru.
Kwa upande mwingine Prof. Museru amesema kuwa hospitali ya Muhimbili imejipanga kuanza kutoa huduma ya matibabu kwa watoto wenye matatizo ya usikivu ambao wapo hatarini kuwa viziwi ili kuweza kuokoa fedha nyingi zinazokazo kwenda kuwatibu nje ya nchi, kutoka Shilingi Mil 90 hadi Mil 30.
Serikali imemtaka Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela kuwasaidia kujua mwekezaji anayemiliki mgodi wa Isulamilomo.
Akijibu swali bungeni leo Naibu waziri wa Nishati na Madini Medadi Karemani amesema kuwa serikali itafuatilia taarifa hiyo baada ya anayehusika katika mgodi huo.
Naibu waziri Karemani ameongeza kuwa serikali itachukua maeneo yote yaliokaliwa na wawekezaji bila kuyaendeleza na kuwagawia wananchi wa maeneo huska.
Awali Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela ametaka kujua mmiliki halali wa machimbo ya Isulamilomo kwa kuwa wananchi na wachimbaji wadogo wamekuwa wakinyanyaswa na mwekezaji anayefanya shughuli katika eneo hilo.
kirusi cha ugonjwa wa Ebola |
![]() |
Baadhi ya waganga wakifuatilia maelekezo kutoka kwa Katibu tawala Mkoa wa Katavi Paul Chagonja (hayupo pichani) |
matanki ya mradi wa maji katika kijiji cha majalila wilaya ya Tanganyika |
umeme wa nishati ya jua unaotumika kwa ajili ya kuendeshea mradi wa maji. |
baadhi ya wanafunzi wakiwa nje ya vyumba vya madarasa ambayo vimekamilika |
mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mpanda Hamad Mapengo akihojiana na baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi Kasekese. |
wajumbe wa ALAAT mkoa wa Katavi wakiendelea na ukaguzi wa miradi ya maendeleo na hapa ni katika zahanati ya Itetemya. |
Imeandikwa na. Prosper Kwigize, Kasulu, Kigoma
Sisi vijana wenye vipaji tupo wengi sana vijijini, elimu yetu ni ya darasa la saba lakini vipaji vyetu ni zaidi ya aliyesoma hadi chuo kikuu, tunachangia pato la Taifa kupitia kazi za mikon.
Bahati mbaya thamani yetu kwa jamii ni ndogo, wanaothaminiwa ni walioajiriwa serikalini ambao wengine hata hatuoni tija ya usomi wao.Mwaka 2014 serikali ya Tanzania ilitangaza rasmi sera mpya ya elimu nchini humo, ambayo ilitambua elimu ya vipaji maalumu vya kisayansi kama njia muhimu ya kukuza uchumi katika dunia ya utandawazi
Mtaalamu wa Majiko ya Waya Bw. Salum Rashid akionesha majiko yaliyokamilika tayari kwa kwenda sokoni |
Majiko yanayotumia mkaa kwa kupikia ambayo yametengenezwa kwa kutumia waya za magurudumu ya magari yaliyokwisha muda wake |
Bi. Neema Segeza mwanamke aliyepata mafunzo ya utengenezaji wa majiko |
Bw. Salum Rashid na Bi. Neema Segeza wakiwa katika shughuli za utengenezaji wa majiko ya waya mjini Kasulu |
Bi. Silesi Malli Mwnyekiti wa UNA Tanzania |
Watumishi walioshiriki mafunzo ya Uandishi wa Miradi na usimamizi wa fedha yaliyofadhiliwa na Mpanda Radio walioko nyuma ni Ndg. Prosper Kwigize (mwenyekiti wa mtandao wa Radio jamii Tanzania) na Bw. Amini Mitha mkurugenzi wa Mpanda Radio |
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...