
Rais Magufuli ameyaongea hayo wakati akipokea taarifa ya pili ya Mchanga wa madini (makainiakia)
Rais Magufuli amesema kuwa wakati mwingine kazi ni nyingi, anashidwa kulala akifikria na kuwaza jinsi ya kuzimaliza.
"kazi hii ni ngumu natamani ndio muda wangu ungekuwa unamalizika, kazi hii ni ngumu," unashidwa kulala ukiangalia document zimejazana"
No comments:
Post a Comment