Sunday, 14 January 2018
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimepata ushindi wa kishindo katika majimbo ya Singida Kaskazini Mkoani Singida.
SINGIDA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimepata ushindi wa kishindo
katika majimbo ya Singida Kaskazini Mkoani Singida.
Wagombea wa chama hicho Justine Monko Joseph wa Singida
Kaskazini katangazwa leo kuwa mshindi kwa kura zaidi ya 20,000 kati ya 22,000
zilizopigwa.
Kwa upande wa Songea Mjini, mgombea wa CCM, Damas Ndumbaro
amepata ushindi kwa kura 45,162 na kumuacha mgombea wa CUF aliyepata kura 608.
Katika Jimbo la Longido, umefanyika kwa amani na utulivu
mkubwa huku baadhi ya watu wakimiminika katika vituo vya kupiga kura kutimiza
demokrasia yao ya kumchagua mbunge wa jimbo hilo.
Uchaguzi huo unarudiwa kufanyika baada ya Mahakama Kuu Kanda
ya Arusha kutengua ubunge wa Mbunge wa Chadema, Onesmo ole Nangole kutokana na
ukiukwaji wa sheria ya uchaguzi katika ushindi wake.
Chanzo: HABARI LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
KIGOMA . VITUO vya afya Uvinza na Nguruka vilivyopo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo yaup...
No comments:
Post a Comment