![]() |
Waandamanaji wa Tunisia |
Saturday, 13 January 2018
Maandamano makubwa yameendelea kufanyika nchini Tunisia na kusababisha vurugu za kimabavu.
TUNIS
Maandamano makubwa yameendelea kufanyika nchini
Tunisia na kusababisha vurugu za kimabavu.
Wizara ya mambo ya ndani ya Tunisia imesema,
vurugu hizo zilizotokea jana zimesababisha kifo cha raia mmoja na askari zaidi
60 kujeruhiwa huku magari zaidi 50 yakiharibiwa na watu wasiopungua 600
wamekamatwa.
Msemaji wa wizara ya mambo ya ndani Khalifa
Al-Shaibani amesema kuna vijana wengi miongoni mwa waandamanaji waliokamatwa
wanaohusishwa na vitendo vya uporaji,wizi na uchomaji moto ambavyo vimevuruga
utaratibu wa jamii.
Maandamano hayo yanadiawa kutokana na kuongezeka
kwa gharama za maisha na sheria ya fedha ya mwaka 2018 ambayo imesababisha
kuongezeka kwa bei ya bidhaa.
Chanzo:CRI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
KIGOMA . VITUO vya afya Uvinza na Nguruka vilivyopo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo yaup...
No comments:
Post a Comment