![]() |
Rais wa Uganda Yoweri Museveni |
Wednesday, 24 January 2018
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema anampenda rais wa Marekani Donald Trump katika hotuba yake.
KAMPALA
Rais wa Uganda Yoweri Museveni
amesema anampenda rais wa Marekani Donald Trump katika hotuba yake wakati wa
ufunguzi wa bunge la Afrika Mashariki jijini Kampala.
Pongezi hizo za museven kwa
Trump zinakuja saa chache tuu baada ya balozi wa Uganda kwa Marekani Deborah
Malac kumkosoa Trump.
Maoni hayo ya rais Museveni ni
tofauti sana na viongozi wengi wanaochukizwa na kauli za Trump.
Mapema mwezi huu Trump
alidaiwa kutoa kauli za kejeli juu ya nchi za Afrika wakati wa mkutano wa
kujadili masuala ya wahamiaji.
Trump ameyakanusha madai hayo
lakini seneta mmoja aliyehudhuria mkutano huo amesema kuwa Trump alitamka maneno ya kejeli na
matusi kwa nchi kama Haiti, elsalvador na nchi za Afrika.
Source BBC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
KIGOMA . VITUO vya afya Uvinza na Nguruka vilivyopo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo yaup...
No comments:
Post a Comment