Wednesday, 17 January 2018
TRA katika Halmashauri ya manispaa ya Mpanda imekusanya mapato kufikia 78% tofauti na ilivyo kuwa mwezi wa kumi na moja mwaka jana.
MPANDA
Makusanyo
yamapato katika Halmashauri ya manispaa ya Mpanda yameongezeka nakufikia 78%
tofauti na ilivyo kuwa mwezi wa kumi na moja mwaka jana ambapo walikusanya
shilingi milioni 370.
Aidha
Mola amesema kumekuwepo na changamoto kwa baadhi ya wafanyabiashara kuwa wazito
katika kutoa kodi na kuwaommba kujenga tabia ya kulipa kodi hali ambayo
itasaidia kukuza uchumi wa taifa kwa ujumla
Chanzo: Paul Mathius
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
Kibao cha shule ya msingi nsanda iliyopo katumba B Shule ya msingi nsanda iliyopo kata ya kanoge halmashauri ya nsimbo mkoan katavi ...
No comments:
Post a Comment