Tuesday, 23 January 2018
Vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa thamani za ndani katika manispaa ya mpanda mkoa wa katavi, wanakabiliwa na ukosefu wa masoko ya bidaa wanazozalisha.
MPANDA
Vijana
wanaojishughulisha na utengenezaji wa thamani za ndani katika manispaa ya
mpanda mkoa wa katavi, wanakabiliwa na ukosefu wa masoko ya bidaa
wanazozalisha.
Aidha
wamebainisha changamoto mbali mbali wanazokumbana nazo katika shughuli zao kuwa
ni pamoja na kufanya kazi katika mazingira magumu pamoja na uelewa mdogo wa wateja kuhusu
malighafi zinazotumika katika kutengeneza bidhaa hizo.
Hata
hivyo wameiomba serikali kusaidia katika upatikanaji wa masoko ya uhakika kwa
bidhaa wanazozalisha ili kukuza uchumi wa nchi.
Halmashauri
zote nchini hauatakiwa kuatenga 10% kwa uwiano wa asilimia tano kwa vijana na
asiliamia tano kwa makundi ya wanawake ambayo shabaha yake ni kuwainua kichumi.
Chanzo:Ezelina Yuda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
KIGOMA . VITUO vya afya Uvinza na Nguruka vilivyopo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo yaup...
No comments:
Post a Comment