Monday, 15 January 2018
Watu 1,500 wamehamishwa kutoka visiwa vya Papua New Guinea, kutokana na mlipuko wa volcano.
Port Mores
Watu 1,500 wamehamishwa kutoka visiwa vya Papua
New Guinea, kutokana na mlipuko wa volcano.
Volkano katika kisiwa cha Kodovar ilianza kutoa
moshi na majivu wiki iliyopita, na kusababisha kuhamishwa kwa zaidi ya watu 500
kwenda kisiwa kilicho karibu cha Blup Blup.
Baada ya mlipuko kuzidi sasa wale waliokimbilia
kisiwa cha Kodovar sasa watahamishiwa kwingine.
Papua New Guinea ni nyumbani kwa milima kadhaa
ya volkano.Walioshuhudia huko Blup
Blup kusini mwa kisiwa cha Kadovar waliripoti mlipuko mkubwa kutoka kwa volkano
siku ya Ijumaa na moto mkubwa ukitoka kwenye mlima huo.
Wanasayansi baadaye waligundua viwango vikubwa
vya gesi ya sulphur dioxide kutoka na volkano hiyo.
Chanzo :Alinanuswe
Edward
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
MLELE Shule ya msingi kusa iliyopo katika kijiji cha Kanoge kata ya utende Halmashauri ya wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi inatalajia k...
No comments:
Post a Comment