Monday, 12 February 2018
Madereva bodaboda wameliomba jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani kutekeleza sheria bila uonevu.
MPANDA
Siku
chache baada ya kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama barabarani baadhi ya
madereva bodaboda wameliomba jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani
kutekeleza sheria bila uonevu.
Wakizungumza
kwa nyakati tofauti wameeleza kuwa utendaji wa haki katika majukumu ya kipolisi
utachangia kupunguza ajari zisizo za lazima.
Wiki ya Usalama barabarani
mkoani Katavi imefikia kilele ijumaa iliyopita ikiwa na kauli mbiu ya Tii
sheria okoa maisha kata rushwa.
Chanzo: Haruna Juma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
KIGOMA . VITUO vya afya Uvinza na Nguruka vilivyopo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo yaup...
No comments:
Post a Comment