Thursday, 15 February 2018
Mtu mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za uvamizi wa kutumia silaha na mauaji .
TANGANYIKA
Mtu mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa amefikishwa mahakamani kwa
tuhuma za uvamizi wa kutumia silaha na mauaji .
Aidha kamanda nyanda amesema jeshi hilo bado linaendelea na upelelezi kuhusu tukio la kubwakwa na kuuawa kwa mwanafunzi mnamo 22/1/2018 katika kijiji cha vikonge kata
ya Tongwe wilaya ya Tanganyika na
mara baada ya upelelezi kukamilika jeshi hilo litatoa taarifa kwa umma
Katika hatua nyingine kamanda amewataka wananchi kujenga tabia ya
kutoa taarifa kwa wakati ili watuhumiwa waweze kuchukuliwa hatua mapema.
Chanzo:Paulo Mathias
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
Kibao cha shule ya msingi nsanda iliyopo katumba B Shule ya msingi nsanda iliyopo kata ya kanoge halmashauri ya nsimbo mkoan katavi ...
No comments:
Post a Comment