MPANGILIO WA VIPINDI VYA KILA SIKU VYA MPANDA RADIO FM.
* KUMEKUCHA
TANZANIA: KILA SIKU YA
JUMATATU MPAKA JUMAMOSI KUANZIA SAA 1:00 ASUBUHI-4:00 ASUBUHI.
*MTAA KWA MTAA:. KILA SIKU YA JUMATATU MPAKA
IJUMAA KUANZIA 4:00 ASUBUHI - 7:00 MCHANA.
*DIRA YA DUNIA (DW): KILA SIKU YA JUMATATU MPAKA JUMAPILI SAA 12 ASUBUHI, 7:00 MCHANA
NA 12:00 MCHANA.
*JOTO 120: KILA SIKU YA JUMATATU MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA 8:00 MCHANA
- 10:00 JIONI.
*TAARIFA YA HABARI KILA SIKU YA JUMATATU MPAKA JUMAPILI MIDA
SAA 6 KAMILI, SAA 10 JIONI NA SAA 2
USIKU.
*JIONI MARIDHAWA: KILA
SIKU YA JUMATATU MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA
10:00 JIONI - 12:OO JIONI.
*SPORTUPDATE/MICHEZO :KILA SIKU YA JUMATATU MPAKA JUMAPILI 1:00 JIONI-2:00 USIKU.
*MUZIKI NA MATANGAZO/VIPINDI MAALUMU:KILA SIKU YA JUMATATU MPAKA JUMAPILI
KUANZIA SAA 2:00-3:00USIKU.
*KURUNZI YA SAUTI :
KILA SIKU ZA JUMANNE NA
ALHAMISI KUANZIA SAA 3:USIKU-6:00 USIKU.
*AFRIKA YETU, WEEKEND SPECIAL:
KILA SIKU ZA JUMAPILI,JUMATATU,JUMATANO NA IJUMAA KUANZIA
SAA 4:00USIKU-6:00 USIKU.
*USIKU WA MCHAKA MCHAKA : KILA SIKU YA JUMATATU MPAKA JUMAPILI KUANZIA
SAA6:OO USIKU-12 ASUBUHI.
*TUFURAHI NA WATOTO: KILA SIKU YA JUMAMOSI KUANZIA SAA
3:00ASUBUHI- 4:00 ASUBUHI.
*JAMVI LA WANAWAKE: KILA SIKU YA JUMAMOSI KUANZIA SAA 4:00 ASUBUHI-5:00
ASUBUHI.
*TOP TWENTY (TOP 20): KILA SIKU YA JUMAMOSI KUANZIA SAA 5:00
ASUBUHI - 7:00 MCHANA.
*AFRO (DANSI): KILA YA JUMAMOSI KUANZIA SAA 8:00 MCHANA -10: JIONI.
*FARAJA YANGU: KILA SIKU YA JUMAMOSI KUANZIA SAA 10:00 JIONI- 11:00 JIONI.
*TUSIKIKE NYUMBANI: KILA JUMAMOSI KUANZIA SAA 11:00
JIONI-12:00 JIONI.
*JAM SELECTION: KILA SIKU YA JUMAMOSI KUANZIA SAA 4:00 USIKU- 6:00 USIKU.
*NURU YAKO: KILA SIKU YA JUMAPILI KUAZIA SAA 1:00
ASUBUHI- 4:00ASUBUHI.
*MUZIKI WA ZAMANI: KILA SIKU YA JUMAPILI
KUANZIA SAA 4:00 ASUBUHI-7:00 MCHANA.
*KILIMO, HABA NA HABA: KILA SIKU YA JUMAPILI KUANZIA SAA 8:00
MCHANA- 10:00 JIONI.
*AFYA YA JAMII : KILA SIKU YA JUMAPILI KUANZIA SAA9:30 ALSIRI-10:00
JIONI.
*MARASHI YA PWANI:
KILA SIKU YA JUMAPILI
KUANZIA SAA 10:00 JIONI-12:00 JIONI.
CREATED BY KWEZI
No comments:
Post a Comment