
Kutoka barani ulaya hatimae kombe la mabara lafikia hatua za mwisho jana usiku baada ya ujeruman kuwa washindi wa kombe la mabara mwaka 2017 na chile kuwa waahindi wa pili bila kusahau ureno kuweza kuwa washindi wa tatu wa
.
kombe la mabingwa wa mabara la mwaka huu 2017 na wajerumani kuwa washindi wa kwanza wa hatua ya final za kombe la mabara la mwaka 2017 ambalo lilikuwa likifanyika katika nchi ya Urusi.
No comments:
Post a Comment