





jumamosi ya jana ya tarehe 15 julai 2017 kipindi chako cha watoto kilikuwa na baadhi ya watoto ambao walikuja kituoni kwetu mpanda radio fm kilichopo kata ya mpanda hoteli.









Walikukutana na shangazi Safina Joeli pamoja na mjomba Issack Gerald katika kipindi cha watoto pia kipindi hichi kinakutanisha watoto wa kila rika kutoka shule mbalimbali za za mkoa wa katavi.
Pia tunazinguka kila shule za halmashauri ya mpanda katika mkoa wa katavi.
No comments:
Post a Comment