Thursday, 11 January 2018
Maafisa wa Ugiriki wanaoshika doria baharini wamesema wanaizuilia meli iliyokuwa inapeperusha bendera ya Tanzania ambayo ilikuwa imebeba vilipuzi.
ATHENSI
Maafisa
wa Ugiriki wanaoshika doria baharini wamesema wanaizuilia meli iliyokuwa
inapeperusha bendera ya Tanzania ambayo ilikuwa imebeba vilipuzi.
Meli
hiyo inadaiwa kusafirisha vilipuzi hivyo kutoka Uturuki kwenda Libya, kinyume
na marufuku iliyowekwa ya kutosafirisha silaha kwenda Libya.
Maafisa
wanasema meli hiyo ilikuwa imebeba kreti 29 zilizojaa vilipuzi pamoja na
kemikali zinazotumiwa kuunda vilipuzi.
Wizara
ya Safari za Baharini imesema meli hiyo ilisimamishwa ikiwa katika kisiwa cha
Crete kusini mwa Ugiriki mwishoni wa wiki baada ya maafisa kupashwa habari na
mdokezi.
Chanzo: CRI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
KIGOMA . VITUO vya afya Uvinza na Nguruka vilivyopo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo yaup...
No comments:
Post a Comment