Thursday, 11 January 2018
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA) imesema mikoa ya Lindi ,Mtwara na Morogoro kusini inatarajiwa kunyesha mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24 .
DAR ES SALAAM
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA) imesema
mikoa ya Lindi ,Mtwara na Morogoro kusini inatarajiwa kunyesha mvua kubwa
inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24 .
Kwa mujibu wa TMA imesema mvua hizo
zimeanza usiku wa kuamkia leo na zinatarajiwa kumalizika Januari 12
mwaka huu ambazo zitanyesha kwa kiwango cha juu cha asilimia 80
TMA imesema hali hiyo inatokana na kuimarika kwa
ukanda wa mvua na mgandamizo mdogo wa hewa uliopo kwenye mkondo wa bahari wa
Msumbiji.
Wakazi wa maeneo hayo wanashauriwa kuchukua
tahadhari kutokana na mabadiliko hayo ya hali ya hewa.
Chanzo:Mwananchi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
KIGOMA . VITUO vya afya Uvinza na Nguruka vilivyopo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo yaup...
No comments:
Post a Comment