Wednesday, 31 January 2018
Tanesco mkoa wa Katavi litaachana na uzalishaji wa nishati ya umeme kwa Jenereta na kujiunga na gridi ya Taifa.
KATAVI
Miaka miwili ijayo shirika la umeme Tanesco mkoa wa Katavi litaachana
na uzalishaji wa nishati ya umeme kwa
Jenereta na kujiunga na gridi ya Taifa.
Waziri wa nishati Dr Merdard Kareman
ameeleza hayo wakati akikagua mradi wa mashine za kuzalisha umeme katika
kata ya Inyonga wilaya ya Mlele mkoani katavi huku akishukuru kazi nzuri
inayofanywa na Tanesco.
Mkoa wa Katavi unawilaya Tatu ambazo ni Wilaya ya Mpanda, Tanginyika
na Mlele lakini Mpaka sasa shirika la Tanesco hutumia Jenereta kama chanzo cha
nishati ya Umeme.
#Changia Damu Okoa Taifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
MLELE Shule ya msingi kusa iliyopo katika kijiji cha Kanoge kata ya utende Halmashauri ya wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi inatalajia k...
-
Kibao cha shule ya msingi nsanda iliyopo katumba B Shule ya msingi nsanda iliyopo kata ya kanoge halmashauri ya nsimbo mkoan katavi ...
No comments:
Post a Comment