![]() |
Waziri wa mambo ya nje wa Guniea ya Ikweta Bw. Agapito Mba Mokuy |
Friday, 12 January 2018
Waziri wa mambo ya nje wa Guniea ya Ikweta Bw. Agapito Mba Mokuy amesema uasi uliozimwa mwishoni mwa mwaka jana ulipangwa nchini Ufaransa lakini serikali ya Ufaransa haihusiki.
MALABO
Waziri wa mambo ya nje wa Guniea ya Ikweta Bw.
Agapito Mba Mokuy amesema uasi uliozimwa mwishoni mwa mwaka jana ulipangwa
nchini Ufaransa lakini serikali ya Ufaransa haihusiki.
Shirika la habari la Ufaransa lilimnukuu Bw.
Mokuy akisema, nchi yake itashirikiana na Ufaransa kuanza uchunguzi baada ya
kupata taarifa zaidi.
Mpaka
sasa wamluki 27 waliohusika na uasi huo wamekamatwa na wengine 150 wametoroka.
Bw. Mokuy amesema, kutokana na uasi huo, na pia
haijakuwa tayari kikamilifu, Guniea Ikweta imesimamisha kwa muda kujiunga na
makubaliano ya mawasiliano ya watu ndani ya eneo la katikati ya Afrika
yaliyopitishwa na jumuiya ya uchumi na sarafu ya eneo hilo mwezi Oktoba mwaka
2017.
Chanzo: CRI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
KIGOMA . VITUO vya afya Uvinza na Nguruka vilivyopo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo yaup...
No comments:
Post a Comment