![]() |
Mbunge wa viti maalumu kupitia Chadema mkoa wa Katavi Mh. Rhoda Kunchela |
Thursday, 15 February 2018
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema mkoa wa Katavi Mh. Rhoda Kunchela amesema uminywaji wa demokrasia nchini unashusha maendeleo.
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo
Chadema mkoa wa Katavi Mh. Rhoda Kunchela amesema uminywaji wa demokrasia nchini unashusha maendeleo.
Katika hatua nyingine amelaani kitendo cha kuzuiwa kwenda kuwaona
wagonjwa katika hosipitali ya manispaa ya Mpanda mnamo desemba 2017 kuwa ni
hujuma za kisiasa dhidi ya Upinzani nchini.
Hivi karibuni maaskofu wa kikatoliki nchini wameikosoa serikali
kuminya uhuru wa kukusanyika na
kukosoa, ikiwemo mikutano ya hadahara kuwa ni jambo lisilo na afya katika
maendeleo ya taifa.
Chanzo:Alinanuswe Edward
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
KIGOMA . VITUO vya afya Uvinza na Nguruka vilivyopo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo yaup...
No comments:
Post a Comment