KATAVI
Waislamu mkoani katavi wametakiwa kuhuburi amani ili kundelea kulinda
amani iliyopo nchini.
Wito huo umetolewa leo na sheikh wa mkoa wa katavi Sheikh Ally Hussein
wakati akizungumza na mpanda radio nyumbani kwake.
Sheikh Hussein amewaomba maimamu wa misikiti mbalimbali mkoani hapa
kutumia hotuba za swala ya ijumaa kuhubiri amani na upendo baina ya uislamu
kama ilivyoelekezwa katika vitabu
Vitakatifu

No comments:
Post a Comment