Friday, 16 February 2018
Rais John Magufuli amewaapisha mabalozi wawili aliowateua kuiwakilisha Tanzania katika nchi za Nigeria na Sweden.
DAR ES SALAAM
Rais John
Magufuli amewaapisha mabalozi wawili aliowateua kuiwakilisha Tanzania katika
nchi za Nigeria na Sweden.
Taarifa
iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi inaeleza kuwa
walioapishwa ni Muhidin Ally Mboweto ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania
nchini Nigeria na Dk Willbrod Peter Slaa ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa
Tanzania nchini Sweden.
Uteuzi wa
Mabalozi hao kuiwakilisha Tanzania katika nchi walizopangiwa umeanza Rasmi Februari
15, 2018.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
MLELE Shule ya msingi kusa iliyopo katika kijiji cha Kanoge kata ya utende Halmashauri ya wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi inatalajia k...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
No comments:
Post a Comment