Thursday, 15 February 2018
Waumini wa dini ya kikristo mkoani Katavi wametakiwa kuwa karibu na Mungu wakati wote na kuacha tabia ya kumkumbuka Mungu katika kipindi cha kwaresima pekee.
KATAVI
Waumini wa dini ya kikristo
mkoani Katavi
wametakiwa kuwa karibu na Mungu wakati wote na kuacha tabia
ya kumkumbuka Mungu katika kipindi cha
kwaresima pekee.
Aidha ameeleza kuwa katika kipindi hiki cha kwarezima
waumini wanafunga na kutubu kwa yale
waliyo mkosea Mungu ili aweze kuwarehemu na kuwasamehe makosa .
Mwezi wa Kwarezima umeanza jana kwa waumini wa kikristo
ambao utahitimishwa mwezi wa Nne tarehe
moja siku ya pasaka ambayo huadhimishwa kila mwaka.
CHANZO:PAULO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
Kibao cha shule ya msingi nsanda iliyopo katumba B Shule ya msingi nsanda iliyopo kata ya kanoge halmashauri ya nsimbo mkoan katavi ...
No comments:
Post a Comment