Mkurungenzi wa halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Michael Nzyungu |
Tuesday, 9 January 2018
Mgomo wa wafanyabiashara mjini Mpanda umeingia Siku ya pili kwa kile kinacho daiwa kuwa ni kutokubaliana na halmashauri ya manispaa ya Mpanda kupandisha kiwango cha bei ya pango kutoka elfu 15,000 mpaka elfu 40,000.
Mgomo wa wafanyabiashara mjini Mpanda umeingia Siku ya pili kwa kile kinacho daiwa kuwa ni kutokubaliana
na halmashauri ya manispaa ya Mpanda kupandisha
kiwango cha bei ya pango kutoka elfu 15,000 mpaka elfu 40,000.
Madai hayo yametupiliwa mbali na mkurungenzi wa
halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Michael Nzyungu amabaye hapo jana amekaliliwa
akisema kitendo cha mgomo huo hakikubaliki na kwamba kinashinikizo la viongozi
wa masoko.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
MLELE Shule ya msingi kusa iliyopo katika kijiji cha Kanoge kata ya utende Halmashauri ya wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi inatalajia k...
-
Kibao cha shule ya msingi nsanda iliyopo katumba B Shule ya msingi nsanda iliyopo kata ya kanoge halmashauri ya nsimbo mkoan katavi ...
No comments:
Post a Comment