Tuesday, 9 January 2018
Tume ya uchaguzi ya Misri imetangaza kuwa, uchaguzi wa urais nchini humo utafanyika tarehe 26 hadi 28 mwezi Machi mwaka huu, na matokeo ya mwisho yatatangazwa tarehe 1, mwezi Mei.
CAIRO
Tume ya uchaguzi ya Misri imetangaza kuwa,
uchaguzi wa urais nchini humo utafanyika tarehe 26 hadi 28 mwezi Machi mwaka
huu, na matokeo ya mwisho yatatangazwa tarehe 1, mwezi Mei.
Mwezi Novemba mwaka jana rais Sisi alisema
uchaguzi mkuu utafanyika mwezi Machi na Aprili kama ilivyopangwa, na kusisitiza
kuwa hatajaribu kubadilisha ukomo wa kikatiba wa mihula miwili ya urais.
Rais Sisi ametangaza rasmi kugombea urais, na
anatarajiwa kupata ushindi kwenye uchaguzi huo, kutokana na kutokuwepo kwa
mpinzani mwenye nguvu.
Chanzo: Bbc swahili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitembelea Meli hiyo. DAR ES SALAAM Meli kubwa ya Jeshi la Jamhuri ya China yen...
-
MLELE Shule ya msingi kusa iliyopo katika kijiji cha Kanoge kata ya utende Halmashauri ya wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi inatalajia k...
-
Kibao cha shule ya msingi nsanda iliyopo katumba B Shule ya msingi nsanda iliyopo kata ya kanoge halmashauri ya nsimbo mkoan katavi ...
No comments:
Post a Comment