DAR ES SALAAM.
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limesema mitihani
ya kuhitimu kidato cha sita itaanza Mei 7 hadi 24, 2018.
Akizungumza
Msemaji wa Necta, John Nchimbi amesema “lengo la kutoa ratiba ni kuwafanya
wanafunzi na walimu wao kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao.”
Kwa
mujibu wa ratiba iliyotolewa na Necta inaonyesha somo la kwanza litakuwa ni
masomo ya jumla ‘General Studies’ na somo la mwisho litakalofanyika Mei 24
litakuwa ni Baiolojia 3C (kwa vitendo).
Chanzo:mwananchi
#Changia Damu Okoa Taifa
No comments:
Post a Comment