Mpanda radio
imewakaribisha wafanyakazi wapya leo hii tarehe 1 julai 2017 na kuwataka kujituma ili kuweza kufikia
malengo yaliyowekwa na uongozi.
Ameyasema
hayo meneja wa radio mpanda Bwana Revocatus Mushi amewakata wanafanyakazi wote kufanya kazi kwa bidii,
kujituma na kuonyesha ushirikiano ili kuweza kufanikisha mkakatati
wakuifikia jamii kiuwajibikaji alisema alipokuwa akiwapokea wafanyakazi hao
mapema leo.
Mpaka sasa
redio imefanikiwa kuweka wawakilishi katika mikoa mbalimbali kama vile kigoma
,Tabora ,Rukwa na wilaya zote za mkoa wa Katavi.
No comments:
Post a Comment