Friday, 19 January 2018
Mamia ya wafanyabiasahara wadogo wadogo katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka katika kituo cha matangangazo mpanda radio fm wakipinga agizo la mkurugenzi wa Manispaa Michael Nzyugu kuyafunga masoko yasiyo rasmi.
Mpanda
Mamia ya wafanyabiasahara wadogo wadogo katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi
wameandamana mpaka katika kituo cha matangangazo mpanda radio fm wakipinga
agizo la mkurugenzi wa Manispaa Michael Nzyugu
kuyafunga masoko yasiyo rasmi.
Miongoni mwao wamesikika wakisema maeneo mengi wanayo takiwa kwenda
mara baada ya kuyahama maeneo yasiyo rasimi yanakabiliwa na miundombinu dahaifu
ikiwemo na mlundikano wa wajasiliamali.
Wiki iliyopita Mkurugenzi wa Manispaa ya Mpanda Michael Nzyungu ameutangazia umma kuwa ifikapo tarehe 22
mwezi huu utakuwa mwisho wa masoko bubu maarufu kama magenge.
Chanzo: Mpanda radio fm
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...
-
Kabale, Uganda. Mpinzani mkuu wa Uganda na kiongozi wa Forum for Democratic Change (FDC) Dk Kizza Besigye amekamatwa. ...
-
TABORA Wananchi wa kijiji cha makibo kata ya Nyahua wilayani sikonge mkoani Tabora wamelalamikia ujenzi wa madaraja mabovu ya baraba...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...



No comments:
Post a Comment