MARA
Wednesday, 17 January 2018
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amemkabidhi Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya, Mhandisi Obetto Sasi kwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Bw. Josephat Kandege baada ya kutoridhishwa na utendaji wake.
Waziri
Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amemkabidhi Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya wilaya
ya Rorya, Mhandisi Obetto Sasi kwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI,
Bw. Josephat Kandege baada ya kutoridhishwa na utendaji wake.
Majaliwa
amefanya uamuzi huo Janua aliposimamishwa na umati wa wananchi kwenye
mji mdogo wa Shitari alipokuwa njiani kuelekea kwenye kijiji cha Bubombi
wilayani Rorya.
Amesema
kwa sasa Serikali inatekeleza Kampeni ya Rais Dkt. John Magufuli ya kumtua mama
ndoo inayo lenga kuwaondolea wananchi tatizo la upatikanaji wa huduma ya maji
safi na salama.
Awali,
Mkuu wa Mkoa wa Mara Bw. Adam Malima amemueleza Waziri Mkuu kwamba changamoto
ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama katika mkoa huo inatokana na
watendaji wa idara hiyo kutokuwa na uwezo wa kutosha kiutendaji.
Chanzo:EATV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...
-
Kabale, Uganda. Mpinzani mkuu wa Uganda na kiongozi wa Forum for Democratic Change (FDC) Dk Kizza Besigye amekamatwa. ...
-
KATAVI Shule ya msingi Misunkumilo iliyopo Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa na madawati...
-
KIGOMA . VITUO vya afya Uvinza na Nguruka vilivyopo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo yaup...

No comments:
Post a Comment