MPANDA
Sera
ya matibabu bure kwa mama mjamzito katika manispaa ya Mpanda mkoani Katavi imeonekana
kutiliwa maanani hali ambayo husaidia kupunguza vifo vya mama wajamzito na watoto.
Wakizungumza
na mpanda redio baadhi ya mama wajawazito wamesema wanaishukuru sarikali kwa
kuanzisha sera hiyo kwani wanatibiwa
bure bila usumbufu wowote.
Hata
hivyo wameiomba serikali kuboresha huduma ili kupunguza magonjwa mbalimbali kipindi
chote cha ujauzito hadi kujifungua.
Niwajibu wa kila mtu kumlinda mtoto na kuhakikisha
anapata huduma zote muhimu ili kumjenga mtoto kimwili na kiakiri.
Chanzo:Adelina
#Changia Damu Okoa Taifa
No comments:
Post a Comment