Monday, 3 July 2017

Halmashauri ya manispaa ya mpanda imeshindwa kuandaa maadhimisho ya sabasaba ya mwaka huu.





MPANDA
Halmashauri ya manispaa ya mpanda mkoani katavi imeshindwa kuandaa maadhimisho ya kibiashara yanayofanyika kila ifikapo mwezi wa saba.
Ameyasema hayo mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa  bwana Michael Nzungu alipozungumza na mpanda radio mapema leo amefafanua kuwa wameamua kuweka mkazo katika Kilimo ili kuwapa nafasi wakulima walio wengi mkoani hapo wengi.

Kwa upande wa katibu wa chama cha wafanyabiashara na  wakulima TCCIA wa mkoa wa Katavi Rabani ndimubenya amekiri kuwepo kwa changamoto hizo ambazo  nikikwako katika falsafa ya Tanzania ya Viwanda.

Mwanzoni mwa mwezi huu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amezindua rasimi maonyesho hayo kitaifa jijini Dar es salaamu ambapo ametangaza kuongeza muda wa siku tano ili kutoa fulsa zaidi kwa wafanyabiashara.



No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...