Thursday, 12 October 2017

Wilaya ya Tanganyika imetengewa visima 21 vya maji safi na salama katika mwaka wa fedha 2017 na 2018.


TANGANYIKA
Wilaya ya Tanganyika imetengewa visima 21 vya maji safi na salama katika mwaka wa fedha 2017 na 2018.

Hayo yamesemwa na mbunge wa jimbo la Mpanda vijijini Suleimani Kakoso katika kikao cha kwanza cha Baraza la madiwani halmashauri ya wilaya ya Mpanda kinacho fanyika katika ukumbi wa Idala ya maji.

Ameongeza kusemakuwa bado kunajitihada nyingi zinazofanywa na serikali kwa kushirikiana na wadau mbali mbali kuhakikisha wananchi wa wilaya hiyo Changa wanaondokana na adha ya maji.


Mapema mwaka 2017 katika kata ya Majalila iliyopo  wilayani Tanganyika  ulizindua mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya zaidi ya milioni  600 yanayo sukumwa kwa nishati ya jua.

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...