Wednesday, 22 November 2017

Mkuu wa mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga amewataka wananchi kuchangamkia kulima kilimo cha korosho na pamba.



 

KATAVI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga amewataka wananchi kuchangamkia kulima kilimo cha korosho na pamba.

 Ametoa kauli hiyo wakati wa kukabidhi hundi kwa vikundi vya akina mama na vijana wasiriamali  ambapo jumla ya milioni 37 zimetolewa kwa vikundi 12


Ameongeza kuwa  upatikanaji wa mbegu za mazao hayo ni wa uhakika na tayari mkoa wa Katavi umepokea tani 51 za mbegu ya pamba kutoka bodi ya pamba Tanzania

Huu ni mkakati wa Mkoa wa katavi kuondoa utegemezi wa zao la tumbaku ambalo limekumbwa  na changamoto ya kukosekana wanunuzi .

SOURCES:HARUNA JUMA.

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...