Tuesday, 21 November 2017

Takriban watu wawili wamepoteza maisha kufuatia maandamano ya upinzani nchini Kenya baada ya kutangazwa uamuzi wa mahakama ya juu uliounga mkono ushindi wa rais Uhuru Kenyatta kufuatia uchaguzi wa marudio uliofanyika Oktoba 26.

NAIROBI

Mkuu wa jeshi la polisi kanda ya Kibera Enoch Maloba amethibitisha kwamba mmoja wa waandamanaji alipigwa risasi na kuuwawa na polisi wakati wa kukabiliana na vurugu katika eneo hilo la mji mkuu Nairobi.

Hadi sasa rais Uhuru Kenyatta hajatowa hotuba yoyote kuhusu uamuzi huo wa mahakama.

SOURCES:DW

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...