![]() |
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta |
Monday, 11 December 2017
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemuandikia barua ya pole Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kupinga kitendo cha mauaji ya askari wake.
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemuandikia barua
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kupinga
kitendo cha mauaji ya askari wake 15 waliokuwa wakilinda amani nchini Kongo, na
kumpa pole kufuatia msiba huo mkubwa.
Katika
barua hiyo, Rais Kenyatta amesema kushambuliwa kwa askari, ambao walikuwa
wakihudumia kwa sababu nzuri ya kuanzisha amani ya kudumu nchini DRC ilikuwa
mbaya, huku akiwapa pole watanzania na ndugu wa marehemu, na kuwaombea wale
waliojeruhiwa waweze kupona haraka.
Uhuru
Kenyatta ameendelea kwa kusema kwamba Kenya itaendelea kushirikiana na watu na
serikali ya Tanzania katika kulinda amani ya Kongo na maeneo ya maziwa makuu,
na kuangalia kesho bora ya maeneo hayo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...
-
Kabale, Uganda. Mpinzani mkuu wa Uganda na kiongozi wa Forum for Democratic Change (FDC) Dk Kizza Besigye amekamatwa. ...
-
KATAVI Shule ya msingi Misunkumilo iliyopo Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa na madawati...
-
KIGOMA . VITUO vya afya Uvinza na Nguruka vilivyopo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo yaup...

No comments:
Post a Comment