Wednesday, 3 January 2018

Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Katavi limesema kuwepo kwa tochi za kudhibiti mwendokasi kumesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza ajali za barabarani.


MPANDA

Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Katavi limesema kuwepo kwa tochi za kudhibiti mwendokasi kumesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza ajali za barabarani

Hayo yamesemwa na Askari wa kitengo cha Usalama Barabarani John Shindika wakati akizungumza katika kipindi cha kumekucha Tanzania leo asubuhi

Aidha Shindika amewataka watumiaji wa barabara kuwa makini wawapo barabarani ili kujiepusha na ajali zisizo za lazima

Katika hatua nyingine Shindika amesema suala la kuzuia ajali ni wajibu hivyo kila mtu yampasa kuzuia ajali kwa namna yoyote.
Chanzo: Ester Baraka

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...