Tuesday, 9 January 2018

Mgomo wa wafanyabiashara mjini Mpanda umeingia Siku ya pili kwa kile kinacho daiwa kuwa ni kutokubaliana na halmashauri ya manispaa ya Mpanda kupandisha kiwango cha bei ya pango kutoka elfu 15,000 mpaka elfu 40,000.

Mkurungenzi wa halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Michael Nzyungu 

MPANDA

Mgomo wa wafanyabiashara mjini Mpanda  umeingia Siku ya pili  kwa kile kinacho daiwa kuwa ni kutokubaliana na  halmashauri ya manispaa ya Mpanda kupandisha kiwango cha bei ya pango kutoka elfu 15,000 mpaka elfu 40,000. 

 Wakizungumza na Mpanda Redio kwa nyakati tofauti wameeleza kuwa uongozi wa halmasauri hiyo haujafanya mazungumzo yoyote kabla ya kupitisha sharia hiyo. 

Madai hayo yametupiliwa mbali na mkurungenzi wa halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Michael Nzyungu amabaye hapo jana amekaliliwa akisema kitendo cha mgomo huo hakikubaliki na kwamba kinashinikizo la viongozi wa  masoko.

Chanzo: Paul Matius

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...