MPANDA
Baadhi ya wanafunzi wa Kidato cha kwanza ambao
wameripoti katika shule mbalimbali za sekondari Manispaa ya Mpanda Mkoani
Katavi, wamesema wamejiandaa kusoma kwa bidii likuwa na ufaulu mzuri kitaaluma.
Baadhi ya Wanafunzi wamezungumza na Mpanda Radio katika Shule ya Sekondari Mwangaza na kueleza mikakati yao kitaaluma .
Kwa upande wake mkuu wa Shule ya Sekondari
Mwangaza iliyopo Manispaa ya Mpanda Simon Lubange amesema,mpaka sasa wanafunzi
kati ya 260 wanaotakiwa kuripoti katika shule hiyo wameripoti ili kuanza
masomo.
Hata hivyo kwa mujibu watakwimu iliyotolewa mwaka
uliopita na Afisa elimu Mkoani Katavi Ernesti Hinju inaonesha zaidi ya
wanafunzi 9000 kati ya waliochaguliwa
kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2018 watashindawa kujiunga na masomo kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa.
Chanzo:EATV
No comments:
Post a Comment