![]() |
Friday, 16 February 2018
Kamanda Muliro amesema wamemchukulia hatua za kinidhamu askari polisi wake ambaye jina lake halijawekwa wazi kufuatia kuonekana akichukua rushwa kwenye video za mitandaoni.
DAR ES SALAAM
Kamanda wa
Polisi wa mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Muliro J. Muliro amesema wamemchukulia
hatua za kinidhamu askari polisi wake ambaye jina lake halijawekwa wazi
kufuatia kuonekana akichukua rushwa kwenye video za mitandaoni.
Akithibitisha
juu ya kuchukua za kinidhamu kwa askari huyo Kamanda Muliro amesema ni kweli
Jeshi la Polisi limechukua maamuzi hayo kwa askari huyo ambaye hakutaka kutaja
jina lake
Chanzo:EATV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...
-
Kabale, Uganda. Mpinzani mkuu wa Uganda na kiongozi wa Forum for Democratic Change (FDC) Dk Kizza Besigye amekamatwa. ...
-
Serikali ya mtaa wa Kampuni Kata ya Misunkumilo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imewaomba wataalamu wa maji Manispaa ya Mpanda kuchungu...
-
TABORA Wananchi wa kijiji cha makibo kata ya Nyahua wilayani sikonge mkoani Tabora wamelalamikia ujenzi wa madaraja mabovu ya baraba...

No comments:
Post a Comment