Friday, 9 February 2018

Waandishi wa habari wa redio jamii Tanzania wakiendelea na mafunzo ya kuwajengea uwezo katika uandaaji wa vipindi bora na uhariri wa habari za jamii.

Waandishi wa habari wa redio jamii Tanzania wakiendelea na mafunzo ya kuwajengea uwezo katika uandaaji wa vipindi bora na uhariri wa habari za jamii.

Ikiwa leo ni siku ya nne ya mafunzo hayo yaliyoanza Jumanne 6 Februari hadi 13 2018 mjini Dodoma yakiwezesha na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu,Sayansi,na  Utamaduni ( UNESCO) yanayojumuisha mambo mbalimbali na leo yamejikita kwenye mada ya uandishi wa habari redioni , Jinsia na Jinsi.

Pia  wamepata nafasi ya kujadili ushiriki wa wanawake kwenye habari za michezo,na kubainisha kuwa ni mdogo.

Pia  wamepata nafasi ya kujadili ushiriki wa wanawake kwenye habari za michezo,na kubainisha kuwa ni mdogo.

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...