Mkuu wa wilaya ya Mpanda Lilian C Matinga akisistiza jambo(picha na Maktaba)
MPANDA
Mkuu wa wilaya ya Mpanda
mkoani Katavi Lilian C Matinga amepiga marufuku kuanzia tarehe moja mwezi wa
saba Magari yaliyozidi tani kumi kutotumia njia za manispaa
Agizo hilo Matinga amelitoa mbele
ya Mstahiki meya wiliam mbogo na Mkuu wa
polisi Kitengo cha usalama bara barani John Mfinanga wakati akizungumza na
wananchi wilayani hapa
Matinga amefafanua kuwa
magari hayo kuendela kuingia mjini yanaendelea kuharibu bara bara sanjari
kabisa na miundombinu na kuelekeza kuwa malori hayo yanatakiwa kupaki eneo la
Minsukumilo
No comments:
Post a Comment