Sunday, 2 July 2017
Hatimae taifa star yatinga nusu final.
Timu taifa la Tanzania taifa star yatinga nusu final baada ya kuwafunga timu ya taifa la africa ya kusini bafanabafana ambae nimwenyeji wa mashindano ya cosafa kwa goli lilifungwa na mshambuliaji Elias maguli katika dakika ya 18 katika kipindi cha kwanza mpaka mwasho taifa star imetoka kifua mbele kwa goli moja kwa bila.
Pia mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Elias Maguli amechaguliwa kuwa mchezaji wa bora mechi ya hiyoo kati ya taifa star na bafanabafana ambao in wenyeji wa mashindano ya cosafa ya mwaka 2017.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...
-
Kabale, Uganda. Mpinzani mkuu wa Uganda na kiongozi wa Forum for Democratic Change (FDC) Dk Kizza Besigye amekamatwa. ...
-
KATAVI Shule ya msingi Misunkumilo iliyopo Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa na madawati...
-
KIGOMA . VITUO vya afya Uvinza na Nguruka vilivyopo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo yaup...

No comments:
Post a Comment