DAR – ES SALAAM.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu Mstaafu Edward
Lowassa amesema uamuzi wa baadhi ya wanachama wa vyama vya siasa nchini kuhama
chama kimoja na kuhamia kingine usichukuliwe kama jambo baya.
Lowassa ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa jambo hilo
lisiwe kigezo cha kubaguana na kuwataka wananchi kutanguliza Utanzania.
Waziri Mkuu huyo wa zamani wa Tanzania amesema yeye binafsi
anaamini kuwa mabadiliko ya kweli yanatoka nje ya CCM.
SOURCES:MO DEWJI.
No comments:
Post a Comment