Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana |
DODOMA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameufuta mchakato wa Kura ya Maoni uliotumika kumpata mgombea wa Ubunge, Jimbo la Singida Kaskazini, kutokana na wagombea kujihusisha na vitendo vya Rushwa
Katika taarifa iliyotolewa na CCM
imesema kwamba imewazuia Haider Gulamali na Elia Mlangi kugombea nafasi ya
ubunge Singida Kaskazini kutokana na kujihusisha na rushwa.
Aidha Katibu huyo ameeleza kwamba mchakato wa kuchukua fomu
za kugombea kwa wanachama wa chama hicho
unaanza upya mapema leo na kumalizika
jioni
Katika
hatua nyingine amujulisha umma kuwa Haider Gulamali na Elia Mlangi hawaruhusiwi
kugombea nafasi ya Ubunge.
SOURCE: EATV.
No comments:
Post a Comment