Tuesday, 12 December 2017

Serikali ya Burundi imewatolea wito raia wake kuchangia bila kulazimishwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.


Waziri wa Mambo ya Ndani Burundi Pascal Barandagiye



Serikali ya Burundi imewatolea wito raia wake kuchangia bila kulazimishwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani Pascal Barandagiye, mchango huo unatolewa kwa hiari wala sio kulazimishwa.

Wizara ya Mambo ya Ndani na Wizara ya Fedha zilitoa siku ya Jumatatu (Desemba 11) agizo linaloelezea jinsi ya kukusanya mchango wa raia wa Burundi kwa uchaguzi ujao.

SOURCE DW

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...