MPANDA
Thursday, 18 January 2018
Walimu wa shule za sekondari za binafsi mkoani Katavi wameelezea kuwepo kwa changamoto utekelezaji wa agizo la kuweka kiwango sawa cha ufaulu kwa shule za binafsi na serikali.
Walimu wa shule za sekondari
za binafsi mkoani Katavi wameelezea kuwepo kwa
changamoto utekelezaji wa agizo la kuweka kiwango sawa cha ufaulu kwa
shule za binafsi na serikali.
Wamesema itawalazimu
kubadilika japo hatua hiyo haitamjenga mwanafunzi kitaaluma kwani wengi wao
wanaosomea katika shule binafsi ni wale walioshindwa kufaulu kwenye shule za
serikali.
Hatua hiyo ya wizara ya elimu
imetajwa kuwa ni moja ya kupunguza upatikanaji wa wanafunzi watakao jiunga na
shule binafsi kwani kutakuwa hakuna
umuhimu kutokana na usawa katika viwango vya ufaulu.
Chanzo:Esther Baraka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
MLELE Shule ya msingi kusa iliyopo katika kijiji cha Kanoge kata ya utende Halmashauri ya wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi inatalajia k...
-
Mahindi MAHINDI yanaendelea kuwadodea wakulima mkoani Rukwa baada ya wafanyabiashara na watu binafsi kuchangamkia mahindi kut...
1 comment:
Mimi naitwa Charles Dionise Sanguapo ni mwalimu wa masomo ya sanyansi ya kilimo na biolojia mwenye cheti ya shahada ya kwanza niliyoipata SUA ikiwa mtapendezwa napenda kufanya uelimishaji wa kilimo ktk kipindi chenu cha kilimo haba na haba
Post a Comment