Tuesday, 13 February 2018

REDIO NDIO SILAHA PEKEE YA KULETA UKOMBOZI WA FIKRA NA MAENDELEO



Leo ikiwa siku ya Redio duniani Mwandishi wetu Alinanuswe Edward amezungumza na mmoja wa Wapiganaji kutoka Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ ambaye ni mstaafu kwa sasa akijihusisha na Kilimo pamoja na ufugaji,mkoa wa Katavi ulio kusini magharibi mwa Tanzania.

Mwandishi wa habari  Alinanuswe Edward  na mtangazaji wa Kipindi cha Kumekucha Tanzania cha Mpanda radio fm  akizungumza na msataafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ. Mzee Thomas Kandege Tanganyika.
(Redio ilikuwa kiungo muhimu katika kututia moyo askari tulio kuwa uwanja wa vita kati yetu na Nduri Idd Amini wa Uganda, hata sasa tunaona chombo hiki kikitumika kama siraha ya pekee katika kuunganisha hoja miongoni mwa wananchi na viongozi na kuchchoea uwajibikaji) Amesema:
Kauli mbiu ni usawa wa kijinsia katika michezo na kutangaza michezo pamoja na kuhusisha amani kupitia michezo.
Maazimisho yanafanyika mjini Dodoma ambapo mgeni rasimi ni waziri wa habari sanaa na michezo Dk Harisson Mwakyembe.
Chanzo: ALINANUSWE EDWARD
#CHANGIA DAMU OKOA TAIFA

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...